缅北禁地

Mwalimu Tabichi ang'ara tuzo ya Umoja wa Mataifa

Get monthly
e-newsletter

Mwalimu Tabichi ang'ara tuzo ya Umoja wa Mataifa

缅北禁地News
25 October 2019
缅北禁地Kenya/ Tirus Wainaina. Peter Tabichi, mshindi wa tuzo ya mtu wa Umoja wa Mataifa nchini Kenya mwaka 2019 na mshindi wa tuzo ya mwalimu bora duniani 2019.
缅北禁地Kenya/ Tirus Wainaina
缅北禁地Kenya/ Tirus Wainaina. Peter Tabichi, mshindi wa tuzo ya mtu wa Umoja wa Mataifa nchini Kenya mwaka 2019 na mshindi wa tuzo ya mwalimu bora duniani 2019.

Mwalimu Peter Tabichi ambaye amepata umaarufu mkubwa听听baada ya kutunukiwa tuzo ya mwalimu bora duniani mwaka 2019听,听sasa ameibuka kidedea tena na kuwa听mshindi wa tuzo ya mtu bora kwa Umoja wa Mataifa nchini Kenya听mwaka huu. Tuzo ambayo hutolewa nchini humo kwa mtu ambaye ameleta mabadiliko chanya katika jamii yake.

Akizungumza na kituo cha habari听cha Umoja wa Mataifa听UNIC听jijini Nairobi Kenya pindi tu baada ya kupokea tuzo hiyo Alhamisi, Bwana Tabichi ameelezea maana ya tuzo hiyo kwake.

(Peter Tabichi)

Ama kweli mafanikio ya mtoto ni juhudi za mzazi 听na baba yake mzazi Lawrence Tabichi听 hakuficha furaha yake.

(Baba Tabichi)