Asante UNHCR huduma ya kangaroo imeokoa watoto wetu -Wakimbizi

Get monthly
e-newsletter

Asante UNHCR huduma ya kangaroo imeokoa watoto wetu -Wakimbizi

山News
29 April 2020
By: 
Mtoto wa siku tisa wa kiume na mamaye kijijini Bambaya wilaya ya Fiama Chiefdom,Kono Nchini Sierra Leone
UNICEF/Phelps
Mtoto wa siku tisa wa kiume na mamaye kijijini Bambaya wilaya ya Fiama Chiefdom,Kono Nchini Sierra Leone

Hudumayarahisi lakini muhimuyakangarooambayo inatolewa kwenye kambiyawakimbiziyaGado nchini Cameroon imekuwa mkombozi wa wa Maishayawatotowanaozaliwa njiti kambini hapo.

Hudumayarahisi lakini muhimuyakangarooambayo inatolewa kwenye kambiyawakimbiziyaGado nchini Cameroon imekuwa mkombozi wa wa Maishayawatotowanaozaliwa njiti kambini hapo.

Katika kituo cha afya kambini Gado wanawake waliojifunguawatotonyiti wako katika mafunzo maalumyakuwaleawatotohao waliozaliwa kablayawakati kwa kupitiahudumayakangaroo, ambayo niyakumbeba mtoto kifuani kutwa kucha ili kuhakikisha jito lake la mwili linakuwa la kawaida kupitia joto la mwili wa mama yake.

Mkimbizi kutoa JamhuriyaAfrikayaKati CAR, Amadou ndio kwanza amejifungua mtoto wa kike njiti wa kike njiti, wanaye wawili wa kwanza walikuwa njiti pia na kwa bahati mbaya hawakuishi

Nilijifungua usiku alikuwa na uzito wa chiniyakilo mbili, alikuwa njiti kwani alizaliwa miezi miwili kablayawakati”

KambiyaGado inahifadhiwakimbizizaidiya25,000 kutoka CAR na hospitali ndogo iliyopo hainahudumazote mfano umeme hukatika mara kwa mara na hakuna jenereta na pia haina vifaa vya kuhudumiawatotonjiti, sasa wauguzi hawana jinsi bali ni kutumia mbinuyaasiliyakangarookwa wazazi kama Amadou

“Mkunga alinionyesha jinsiyakutumia njiayakangaroona kumlinda mwanangu.”

Kablayahudumahii kambini hapa wanawake wenyewatotonjiti walilazimika kujaza majiyamoto kwenye chupa za plastiki na kuviviringisha kwenye blanketi zawatotowao njiti ili kuwapa joto na ilikuwa hatari na wengi walipoteza Maisha.

Mwaka 2018 kupitia msaada wa shirika lawakimbizikwa ufadhili wa Bill na Melinda Gates wahudumu wa afya walipewa mafunzoyahudumayakangarooambayo sasa wanayotoa kwa wanawake wanaojifunguaWatotonjiti kambini hapa. Miongoni mwa hudumu hao ni mkubga Monique Meka

“Tulikuwat unapoteza sanawatotokutokana na baridi, lakiniasantekwahudumahii lichayatatizo la kukatika umeme sasa tunaweza kuwalindawatotokatika joto linalotakiwa.”

Kwa mujibu wa takwimu za shirika la afya dunianikila mwaka huzaliwawatotonjiti zaidiyamilioni 20 dunini na zaidiyaasilimi 96 kati yao ni katika nchi zinazoendelea.