缅北禁地

Afrika ni wakati wa kuamka na kujiandaa na zahma ya COVID-19 -WHO

Get monthly
e-newsletter

Afrika ni wakati wa kuamka na kujiandaa na zahma ya COVID-19 -WHO

缅北禁地News
20 March 2020
Barabara ya 缅北禁地jijini Nairobi nchini Kenya iko wazi wakati huu ambapo watu wanafanyia kazi nyumbani kuepuka kusambaza virusi vya corona.
缅北禁地Kenya/Newton Kanhema
Barabara ya 缅北禁地jijini Nairobi nchini Kenya iko wazi wakati huu ambapo watu wanafanyia kazi nyumbani kuepuka kusambaza virusi vya corona.

Shirika la afya ulimwenguni WHO limetoa wito kwa bara la Afrika kuamka na kujiandaa na tishio kubwa la kimataifa za mlipuko wa virusi vya听Corona听, COVID-19. Katika mkutano wa kila siku na waandishi wa habari mjini Geneva mkurugenzi mkuu wa WHO Dkt. Tedros Adhamon Ghebreyesus amesema听鈥渒itu muhimu na bora kwa Afrika ni kujiandaa kwa zahma na kujiandaa sasa鈥

Akijibu swali la mwandishi wa habari kutoka Rwanda mkuu huyo wa听听amesema hata kama kiwango cha wagonjwa wa virusi hivyo ni kidogo bado bara la Afrika linapaswa kujiandaa kwa janga kubwa. Ameongeza kuwa katika nchi nyingine tumeshuhudia jinsi gani virusi vikishika kasi baada ya kuzuka na kufikia kiwango cha juu, visa hivi vinayoelezwa ni idadi tunayotaka kuitumia kuhakikisha tunadhibiti ugonjwa huu kuanza shinani.

鈥淜wa sasa matukio ya听COVID-19听kwa Afrika ni kidogo, lakini yanaweza kuongezeka kutokana na mapungufu ya upimaji, lakini Afrika bado ina fursa kubwa ya kuweza kuepuka athari kubwa za mlipuko huu na kuandaa umma wake na mifumo yake ya afya 鈥听amesema Dkt.Michael Ryan mkurugenzi mtendaji anayehusika na udhibiti wa dharura za kiafya katika shirika la WHO.

Ukurasa kuhusu virusivyacorona & taarifa mpya
Wasomaji wanaweza kupata taarifa na muongozo kuhusu mlipuko wa virusi vya corona (2019-nCoV) kutoka Umoja wa Mataifa, Shirika la afya duniani na mashirika mengine ya 缅北禁地hapa.
Kwa habari mpya kila siku kutoka 缅北禁地News, bofya hapa.

Kwa kuzingatia hili wataalam wa WHO wanatarajia nchi za Afrika kusaka njia zozote zinazowezekana , kujifunza kutokana na uzoefu wan chi za asia na Ulaya ili kubaini njia ipi inawafaa.

Wakati huohuo shirika hilo la WHO limerejea ushauri wake wa umuhimu wa upimaji, kusaka watu waliokutana na waathirika, kuwatenda walioathirika na kuwatibu waliokumbwa na ugonjwa huo.

Kwa shirika hilo ni bayana kwamba wakati huu nchi zote ambazo zimekumbwa na COVIDI-19 ndani ya mia[aka yake lazima ziangalie hatua muafaka za kudhibiti watu kukutana hususani mikusanyiko mikubwa ambayo inauwezo za kusambaza ugonjwa huo.

" Afrika lazima iamke. Bara langu lazima liamke sasa-Dkt.Tedros. "

Ili kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huo WHOinaamini kwamba nchi zote ambako kuna maambukizi katika jamii zinatakuwa kufikiria kupunguza , kuchelewesha au kusitisha mikusanyiko mikubwa.

WHO imeonya kwamba mfano huo wa kuwaleta watu pamoja katika nwakati wa mlipuko kuna uwezekano wa kuusambaza zaidi ugonjwa hususani 鈥渒atika mikusanyiko mikubwa ya kidini ambayo huwaleta watu pamoja kutoka sehemu mbalimbali.鈥

Mapendekezo ya WHO ni kuepuka kabisa mikusanyiko hii ya watu wengi na kuzuia virusi hivyo.

Dkt. Tedros amesisitiza kuwa听鈥淜wa sababu tumeshuhudia jinsi gani COVID-19 inavyoweza kusambaa katika mabara mengine au nchi zingine hivyo Afrika iamke sasa. Bara langu linapaswa kuamka sasa.鈥听Ameongeza mkurugenzi huyo ambaye anatokea nchini Ethiopia barani Afrika.