缅北禁地

缅北禁地yachukua hatua kusaidia maandalizi ya vita dhidi ya COVID-19 Sudan Kusini

Get monthly
e-newsletter

缅北禁地yachukua hatua kusaidia maandalizi ya vita dhidi ya COVID-19 Sudan Kusini

缅北禁地News
20 March 2020
Barakoa za kijinginga na maambukizi ya COVID-19 zinazopendekezwa kutumika
Unsplash/Macau Photo Agency
Barakoa za kijinginga na maambukizi ya COVID-19 zinazopendekezwa kutumika

Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini umetangaza hatua mpya katika kusaidia juhudi zinazoongozwa na serikali ya Sudan kusini katika kuzuia na kujiandaa na mlipuko wa virusi vya听Corona, COVID-19.

Taarifa iliyotolewa na Umoja wa Mataifa hii leo nchini humo imesema hatua hizo zinalenga kuwalinda watu wa Sudan Kusini na wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa.

Hivi sasa hakuna kisa chochote kilichothibitishwa cha听COVID-19听nchini Sudan Kusini na operesheni za Umoja wa Mataifa zinaendelea kama kawaida kwa sasa nchi nzima za kutoa ulinzi, misaada ya kibinadamu na kusaidia shughuli za maendeleo.

Taarifa hiyo ya Umoja wa Mataifa imeongeza kuwa mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini ,听听na mashirika mengine ya Umoja wa Mataifa yanaheshimu na yatafuata maamuzi yatakayofanywa na serikali ya Sudan Kusini kulinda umma dhidi ya COVID-19 ikiwemo vikwazo kwa wasafiri kuingia nchini humo.

Ukurasa kuhusu virusivyacorona & taarifa mpya
Wasomaji wanaweza kupata taarifa na muongozo kuhusu mlipuko wa virusi vya corona (2019-nCoV) kutoka Umoja wa Mataifa, Shirika la afya duniani na mashirika mengine ya 缅北禁地hapa.
Kwa habari mpya kila siku kutoka 缅北禁地News, bofya hapa.

Na matokeo ya hatua hizo ,听wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa walioko likizo hivi sasa wanashauriwa kutorejea isipokuwa tu wale wanaelezwa kuwa ni wa lazima kwa ajili ya operesheni za Umoja wa Mataifa . Na kwa mantki hiyo wafanyakazi watatakiwa kujitenga kwa siku 14.

Umoja wa Mataifa Sudan kusini pia听umeamua kusitisha safari zote za wafanyakazi za mpango wa mapumziko ujulikanao kama R and R hadi tarehe 15 Aprili ambapo hali itatathiminiwa tena.

Pia听shughuli na matukio yote ambayo yatahusisha idadi kubwa ya watu zimesitishwa kwa kuzingatia ushauri wa serikali kuhusu kulinda afya ya umma.

Suala linguine ambalo limesitishwa kwa mud ani hatua ya kubadilisha walinda amani na umoja wa Mataifa umesisitiza kwamba utaendelea kusaidia juhudi za serikali katika kuzuia na kujiandaa kukabiliana na COVID-19.