Ni muhimu wazazi wawafunze watoto lugha ya mama-mtangazaji wa lugha ya mama
Get monthly
e-newsletter
Ni muhimu wazazi wawafunze watoto lugha ya mama-mtangazaji wa lugha ya mama
Katika kuadhimishaÌýÌýsiku ya kimatifa ya lugha ya mama,ÌýUmoja wa Mataifai unasemaÌýasilimia 43 ya lugha 6000 ambazo zinazungumzwa leo duniani ziko hatarini kutoweka. Na kwamba ni ni mamia kadhaa tu yaÌýÌýlughaÌýambazo zimepewa nafasi katika mifumo ya elimu na kutumika kwaÌýumma naÌýniÌýchini ya lughaÌý100Ìýambazo zinatumika katika mtandao wa kidijitali.
Licha ya hali hii lakini kuna baadhi ya jamii ambazo zinajivunia lugha ya mama na ni kawaida kusikia matangazo ya lugha za mama mbali mbali kupitia radio na hata televisheni, ni kwa mantiki hiyo nimezungumza na mmoja wa watangazaji wa lugha ya mama ÌýGakenia Gakeni ambayeÌýanatangazaÌýkwenye moja ya radio nchini KenyaÌýnaÌýamenielezea umuhimu wa siku ya leo
(SAUTI GAKENIA)
Na je vipi kuhusu dhana ya kwamba kutangaza na lugha za mama kunachangia katika kueneza ukabila
(SAUTI GAKENIA-2)
ÌýTAGS: Siku ya lugha ya mama, UN