Dhamira yetu kubwa kama chama cha wandishi wa habari wanawake, TAMWA visiwani Zanzibar nchini Tanzania ni kuwatetea wanawake na watoto kwa kupaza sauti zao kupitia vyombo vya habari.
Hiyo ni kauli ya Mkurugenzi wa TAMWA Zanzibar Dkt. Mzuri Issa katika mahojiano maalum na Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani,听 Bi Issa amesema awali walijikita katika kutumia vyombo vya habari kwani waligundua kwamba taarifa听听kuhusu wanawake kupitia vyombo hivyo zilikuwa nadra
(Sauti ya Mzuri)
Bi. Issa amesema katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa hususan namba tano la usawa wa kijinsia lakini lengo lingine litakalo fanikisha kazi zao
(Sauti ya Mzuri)
SEO Alternate Title :听
TAMWA's work in Zanzibar has changed narratives on women issues
SEO Alternate Description:听
Tanzania Media Women Association