Stories
Chanjo za COVID-19: Umoja wa Afrika, Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (CDC) na COVAX zinatoa wito kwa wafadhili na watengenezaji kuharakisha uafikiaji na usambazaji
By Africa RenewalTaarifa ya pamoja kuhusu msaada wa dozi za chanjo za COVID-19 kwa nchi za Afrika
Siku16 za Uanaharakati dhidi ya Dhuluma za Kijinsia
By 缅北禁地WomenKampeni inaanza tarehe 25 Novemba hadi 10 Disemba chini ya Mada: “Orange the World: End Violence against Women Now!”
Kuangamiza dhuluma dhidi ya wanawake Waamini wahasiriwa. Chukua hatua sasa!
By 缅北禁地WomenTaarifa ya Layla, Moroko
Ukuzaji viwanda jumuishi na endelevu ni muhimu kwa ufanifu wa Afrika
By António GuterresUjumbe wa Katibu Mkuu wa 缅北禁地Siku ya Afrika ya Ukuzaji Viwanda
Fursa za uwekezaji barani Afrika zaonyeshwa kikamilifu katika Jukwaa la Wawekezaji la Maonyesho ya Biashara Ndani ya Afrika (IATF)
By IAFTMaonyesho ya Biashara ya Ndani ya Afrika yanandaa Siku yake ya Uwekezaji jijini Durban, Afrika Kusini
Teknolojia ya kidijitali ni muhimu kwa usimamizi wa mali
By UNECATeknolojia kama vile droni husaidia kukusanya picha za ardhi kwa ajili ya uchanganuzi wa picha, na katika kuweka mipaka ya viwanja.
Ongezeko la kasi la ugonjwa wa kisukari Afrika lakoleza makali ya COVID-19
By WHOKukabili mlipuko wa kisukari katika Afrika ni muhimu kama kukabili COVID-19
Tunahitaji juhudi nyingi na malengo makubwa ya urejesho wa ardhi barani Afrika
By Ibrahim Mayaki and Wanjira MathaiUharibifu wa ardhi ya kilimo kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa yanatishia mamilioni ya njia za kutafuta riziki