Ãå±±½ûµØ

Stories

Wafanyakazi wanatayarisha meli katika Walvis Bay, bandari kuu nchini Namibia.

Vipaumbele vya kimkakati vya Afrika ili kurejesha hali yake

By Cristina Duarte
¡ª Simulizi mpya ya maendeleo inahitajika kuwasilisha Bara la Afrika kama mdau muhimu na lililo na mafanikio na mazoea bora ya kushiriki
Damilola Ogunbiyi

Nishati itakuwa sehemu muhimu sana katika kufanikisha eneo huru la biashara Afrika

By Kingsley Ighobor
¡ªDamilola Ogunbiyi, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Nishati Endelevu kwa Wote
Mwanamke akitembea mashambani nchini Mali.

COP26 kuhusu hali ya hewa: Vipaumbele vya Bara Afrika

By Tanguy Gahouma-Bekale
¡ª Bara linataka ushirikiano bora kuhusu mabadiliko na ufadhili.
Malori yakipita katika bara la Afrika.

Jinsi uchukuzi wa malori kutumia mtindo wa Uber unavyobadilisha kabisa biashara barani Afrika

By Franck Kuwonu
Malori yaliyosajiliwa na madereva wameunganishwa mtandaoni, na kusawazishwa na mahitaji ya uchukuzi wa mizigo
Alfajiri, katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Cape Town.

Wadau wa Usafiri wa Ndege Wawazia Gharama za juu za Usafiri wa Ndege Barani Afrika

By Stephen Ndegwa
Sekta ya anga ya Afrika inatafuta njia za kupona baada ya hasara zaidi ya dola bilioni 6 kwa sababu ya kuena kote.
Dijiti Dijiti

Kuridhiwa kwa sarafu ya Kidijitali barani Afrika: Changamoto na manufaa

By Eugene Yiga
Changamoto ni pamoja na ukosefu wa intaneti ya kuaminika na ukosefu wa maarifa ya kifedha
Wakulima wanawake

Kulisha Afrika kutoka Afrika: Wakulima wadogo kupigwa jeki na AfCFTA

By Busani Bafana
Athari ya COVID-19 imefichua udhaifu wa mifumo ya sasa ya chakula, lakini pia imefunua fursa kwa Afrika kufanya biashara na Afrika chini ya AfCFTA
Ukosefu wake walemaza utoaji wa chanjo ya COVID-19 barani Afrika

Ukosefu wake walemaza utoaji wa chanjo ya COVID-19 barani Afrika

By Kingsley Ighobor
Chanjo milioni 38 pekee ndizo zimepokelewa katika bara la watu wapatao bilioni 1.2
Lucy Muchoki

Bingwa wa Mifumo ya Chakula Lucy Muchoki, Kenya

By Franck Kuwonu
Mkurugenzi Mtendaji, Pan-African Agribusiness and Agroindustry Consortium (PanAAC) imeandaa mazungumzo kwa Afrika Kusini katika eneo la SMEs.