缅北禁地

Mimi ninaandika kwa kuifuata kalamu yangu-Walibora

Get monthly
e-newsletter

Mimi ninaandika kwa kuifuata kalamu yangu-Walibora

缅北禁地News
20 April 2020
Lugha zinaunganisha ulimwengu-UNESCO
UNESCO
Lugha zinaunganisha ulimwengu-UNESCO

Ken Walibora Waliula alizaliwa mwaka 1964 katika kaunti ya Bungoma nchini Kenya, huku akifahamika na wengi kama mpenzi wa lugha ya Kiswahili na mtetezi mkubwa.

Mwenda zake Walibora alikuwa ni mwandishi wa riwaya, mashairi, mhadhiri na alivaa kofia nyingi.听Mnamo Aprili 10, 2020, profesa Walibora alifariki dunia kufuatia ajali ya barabarani.

Mapema mwaka jana alizungumza na Grace Kaneiya wa idhaa hii ambapo katika听听mazungumzo ya kwa kina alinidokezea kuhusu听 kazi zake za sanaa na malengo yake kupitia kazi hizo.